Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso (Mb), akiongea katika Mkutano wa Wadau wa Maji wa Wilaya ya Muheza ikiwa ni sehemu ya ziara ya kutembelea mradi wa kuboreshesha hali ya upatikanaji Maji katika Jiji la Tanga na Miji ya Muheza, Pangani na Mkinga, kwa fedha za Hatifungani ya Kijani ya Tanga UWASA ya TZS 53.12B.