Kikao Matumizi ya TEHAMA katika Sekta ya Maji

Published: Feb 03, 2026
Kikao Matumizi ya TEHAMA katika Sekta ya Maji cover image

Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Kairuki (Mb),katika kikao majadiliano kuhusu kuimarisha  matumizi ya TEHAMA katika Sekta ya Maji kwa lengo la kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.

Kikao hicho kimejikita katika mageuzi ya kidigitali yatakayosaidia kuongeza ufanisi, kudhibiti upotevu wa maji na mapato, pamoja na kuboresha huduma kwa wateja kupitia mifumo ya kisasa ya kiteknolojia. Kikao kilifanyika jana,  Februari 2, 2026, Mtumba, Dodoma.