Baadhi ya Wajumbe wa Timu ya Menejimenti ya Mfuko wa Taifa wa Maji (NWF) jana Bungeni.

Published: Jan 22, 2026
Baadhi ya Wajumbe wa Timu ya Menejimenti ya Mfuko wa Taifa wa Maji (NWF) jana Bungeni. cover image

Baadhi ya Wajumbe wa Timu ya Menejimenti ya Mfuko wa Taifa wa Maji (NWF) wakifuatilia wasilisho la Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Maji Wakili Haji Nandule, akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Mfuko wa Taifa wa Maji kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira wakati wa Kikao cha Kamati, Januri 21, 2026