Mradi wa Maji wa Igowole
Mradi wa Maji wa Igowole uliopo Mkoa wa Iringa. Kwenye Picha ni Chanzo Cha Maji Cha Kivele, ambao unahudumia Vijiji Vitatu. Mradi huu unanufaisha takribani Wananchi 17,000. Mradi huu umefadhiliwa kwa Fedha Za Mfuko wa Taifa wa Maji (NWF).