Kikao cha Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Maji

Published: Mar 03, 2026
Kikao cha Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Maji cover image

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfukjo wa Taifa wa Maji Injini Abdallah, Mkufunzi, akiongoza Kikao cha Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Maji, kilichofanyika Machi 2, 2026, katika Ukumbi wa Mikutano wa Mfuko wa Taifa wa Maji, JIjini Dodoma.