Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Maji (NWF) Wakili Haji Nandule, akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Mfuko

Published: Jan 22, 2026
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Maji (NWF) Wakili Haji Nandule, akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Mfuko cover image
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Maji (NWF) Wakili Haji Nandule, akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Mfuko wa Taifa wa Maji kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira wakati wa Kikao cha Kamati, Januri 21, 2026