Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Maji apokea Makombe ya SHIMIWI
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Maji, Wakili Haji Nandule akiwa na Uongozi wa Maji Sports kupokea Makombe ya Ushindi katika Mashindano ya SHIMIWI yaliyofanyika Jijini Mwanza hivi karibuni. Wakili Haji Nandule ni Mlezi wa Timu ya Maji Sports.