Event: Wajumbe Kamati ya TEHAMA

Wajumbe Kamati ya TEHAMA

Pichani ni baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya TEHAMA ya Mfuko wa Taifa wa Maji wakiwa kwenye Kikao cha Robo ya Kwanza ya Mwaka 2025/26 hivi karibuni.