Biography & Profile
Kaimu Mkurugenzi wa Tathmini za Miradi na Uhamasishaji wa Rasilimali
- Shahada ya Uzamivu (PhD) katika Usimamizi Jumuishi wa Maji, Udongo na Taka
Chuo Kikuu cha Umoja wa Mataifa – Taasisi ya Usimamizi Jumuishi wa Mifumo ya Mienendo ya Nyenzo na Rasilimali (UNU-FLORES) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Dresden (TUD), Dresden, Ujerumani, Aprili, 2015 – Februari, 2021 - Shahada ya Uzamili ya Sayansi (MSc) katika Usimamizi Jumuishi wa Rasilimali za Maji, mwelekeo wa Maji na Ardhi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Botswana (UB) na Chuo Kikuu cha Zimbabwe (UZ), Dar es Salaam, Tanzania, Februari, 2009 – Novemba, 2010
- Shahada ya Kwanza ya Sayansi (BSc) katika Sayansi na Usimamizi wa Mazingira -Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), Morogoro, Tanzania, Agosti, 2004 – Novemba, 2007
- Afisa Mazingira Mwandamizi -Kituo cha Umahiri cha Rasilimali za Maji, Idara ya Rasilimali za Maji – Wizara ya Maji, Dodoma, Tanzania (Julai, 2024)