Menejimenti ya Mfuko wa Maendeleo ya Kilimo

Published: May 30, 2025
Menejimenti ya Mfuko wa Maendeleo ya Kilimo cover image

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko Bw. James Kalimanzila akiwa kwenye Mazungumzo na Menejimenti ya Mfuko wa Maendeleo ya Kilimo walipotembelea Ofisi za Mfuko wa Taifa wa Maji, hivi karibuni, Dodoma.