Wajumbe Kamati ya TEHAMA

Published: Oct 02, 2025
Wajumbe Kamati ya TEHAMA cover image

Pichani ni baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya TEHAMA ya Mfuko wa Taifa wa Maji, wakiwa katika Kikao cha Robo Mwaka 2025/6 hivi karibuni.